Breaking News..EWURA Yatangaza Kushuka Kwa Bei ya Mafuta - MULO ENTERTAINER

Latest

3 Feb 2016

Breaking News..EWURA Yatangaza Kushuka Kwa Bei ya Mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) yatangaza kushuka kwa bei ya mafuta, bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, petroli imefikia Shilingi 1,842.

Kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la ndani kwa kiasi kikubwa kumetokana na kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la dunia na pia kushuka kwa gharama za usafarishaji na bidhaa za mafuta hayo kuja nchini