Gari la Mafuta Laanguka na Kulipuka Moto Mkoani Dodoma - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Feb 2016

Gari la Mafuta Laanguka na Kulipuka Moto Mkoani Dodoma


Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa ambapo hazikupatikana taarifa rasmi kuhusu ajali yenyewe kwenye upande wa Majeruhi au vifo