Huu Ndiyo Mjengo wa Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz Babu Tale - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Feb 2016

Huu Ndiyo Mjengo wa Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz Babu Tale

Meneja wa  Msanii mkali Tanzaia Diamond Platnumz na Mkurugenzi wa Tiptop Conection, Babu Tale leo amepost video kwenye Instagram yake ikionyesha Mjengo ambao anaumiliki.