Ommy Dimpoz Amuonyesha Mpenzi wake Hadharani na Kumchana Nay wa Mitego Baada ya Nay Kumuhusisha na Ushoga Kwenye Nyimbo yake - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Feb 2016

Ommy Dimpoz Amuonyesha Mpenzi wake Hadharani na Kumchana Nay wa Mitego Baada ya Nay Kumuhusisha na Ushoga Kwenye Nyimbo yake

Barua kutoka kwa @ommydimpoz kwenda kwa Nay wa mitego baada ya Nay wa Mitego kumuhusisha na Ushoga katika nyimbo yake mpya...

"Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako  inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani  vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza  Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba  Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema" Ommy Dimpoz