Picha: Mrembo Huyu Ana Hips Kubwa na Umbo la Kuvutia Kuliko Wote Kenya? - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Feb 2016

Picha: Mrembo Huyu Ana Hips Kubwa na Umbo la Kuvutia Kuliko Wote Kenya?

Ana umbo namba nane anawachanganya… Ama kama alivyosema Diamond kwenye Zigo Remix – Usiombe akapita na khanga, nyuma figusu majanga, ana mwendo wa kung’onya, tena alivyoshona, umbo kama katuni wa kuchora – Ni Grace Sowairina Msalame.