Tathimini: Naibu Spika wa Bunge Anayumbishwa na Bunge, Awe Mtulivu - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Feb 2016

Tathimini: Naibu Spika wa Bunge Anayumbishwa na Bunge, Awe Mtulivu

Toka bunge la 11 limeanza nimeshuudia uongozaji wa bunge kwa spika na naibu wake pamoja na wenyeviti.

Ila kwa tathimini ya haraka niliyofanya mpaka hapa bunge lilipofikia,na kiri wazi naibu spika Tulia ndio kaonyesha kushindwa,Amejawa na hisia na gadhabu na si mvumilivu.

Yapo mambo madogo anayostahili kuyaacha kama changamoto lakini amekuwa akipaniki na kung'aka
Tuelekeapo asipojirekebisha kiti kitampwaya na bunge litakosa mwelekeo,Ni vema Mhe.Tulia ajifunze utulivu alio nao Spika na wenyeviti.