Baada ya Kutemana na Nisha Huyu Hapa Ndio Mpenzi Mpya wa Baraka De Prince - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Mar 2016

Baada ya Kutemana na Nisha Huyu Hapa Ndio Mpenzi Mpya wa Baraka De Prince

Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi!



Seems like Barakah Da Prince ana ngekewa na watoto wazuri wa mjini. Baada ya Meninah, Linah, Masogange, Nisha na wengine tusiowajua, hitmaker huyo wa ‘Siachani Nawe’ ameangukia kwenye penzi la mtoto wa kihindi, Naj