Diamond Platinumz Kubeba Familia Yake Nzima Kwenda Ulaya... Amenigusa Kwelikweli - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Mar 2016

Diamond Platinumz Kubeba Familia Yake Nzima Kwenda Ulaya... Amenigusa Kwelikweli

Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona clip ya video ya diamond akiwa na familia yake Ujerumani Alipoenda Kufanya Show, nilichopenda ni namna kijana anavyojitahidi kuwa karibu na mama yake, kutoka katika sakafu ya moyo wangu nimefurahishwa, nimeguswa sana na upendo huu wa kijana mwenzangu kwa mama yake! Mungu ambariki sana