Picha: Lulu Michael Ndani ya Nollywood (Nigeria) Tuzo za Africa Viewers Choice Awards - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Mar 2016

Picha: Lulu Michael Ndani ya Nollywood (Nigeria) Tuzo za Africa Viewers Choice Awards

Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake bongo, elizabeth michael , maarufu kama lulu, ametua nchini Nigeria kwenye sherehe za ugawaji tuzo za Africa viewers choice awards(AMVA 2016) zinazofanyika nchini humo march 5(leo), ambapo msanii huyo amebahatika kuwa nominated kwenye tuzo hizo kubwa Africa, ambapo filamu yake ya MAPENZI YA MUNGU imechaguliwa kwenye category ya best film of East Africa.

Ukiachilia mbali lulu, wasanii wengine waliopo kwenye caregory hyo ni msanii mkongwe wa filamu nchini, Richie mtambalike ambapo filamu yake ya KITENDAWILI inashindanishwa na baadhi ya filamu katika kipengele cha filamu bora kutoka afrika mashariki.

Tunawatakia kila la kheri wasanii hao katika mchakato mzima, hili waendelee kutuwakilisha zaidi kimataifa