Tanzania yenye Neema: Madini ya Almasi Yagunduliwa Mkoa wa Singida - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Mar 2016

Tanzania yenye Neema: Madini ya Almasi Yagunduliwa Mkoa wa Singida

Madini ya Almasi yamegunduliwa katika mkoa wa Singida.Hayo yamesema na kamishna wa madini. Hata hivyo uchimbaji wa madini hayo mkoani hapo hayajaanza kuchimbwa.

Chanzo: Magazeti asubuhi

Rai yangu ni kwamba iwekwe mikakati thabiti kuhakikisha madini hayo yanakuwa msaada kwa watanzania sana sana mkoa wa Singida ambao ni mkoa masikini Tanzania.

Sitegemei kuona wanasiasa wanaanza kujimilikisha vitalu ili kunufaisha mitumbo yao na familia zao.