TUHUMA za Rushwa Kamati ya Bunge..Mbunge Zitto Kabwe Amejiuzulu Ujumbe wa Kamati ya Huduma ya Jamii - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Mar 2016

TUHUMA za Rushwa Kamati ya Bunge..Mbunge Zitto Kabwe Amejiuzulu Ujumbe wa Kamati ya Huduma ya Jamii


TUHUMA ZA RUSHWA KAMATI ZA BUNGE: Mbunge Zitto amejiuzulu ujumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii.

Amwandikia Spika kumuomba achunguze na achukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayekutwa kuhusika na vitendo vya rushwa.