Baba wa miaka 68 abaka watoto wake wawili. - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Jan 2019

Baba wa miaka 68 abaka watoto wake wawili.

Baba wa miaka 68 abaka watoto wake wawili
Watoto wawili wa kike  mmoja kutoka familia moja mkoani Morogoro, wamebakwa na baba yao mlezi  mwenye umri wa miaka 68.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Willbrod Mutafungwa amethibitisiha kutoka kwa tukioa ambapo ameeleza mtoto wa kwanza ni mwenye miaka tisa na mwingine nane.