Rais J.P.Magufuli ataja mshahara wake kupitia runninga ya Clouds asubuhi ya leo. - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Apr 2016

Rais J.P.Magufuli ataja mshahara wake kupitia runninga ya Clouds asubuhi ya leo.

Nyota ya Radio ya Clouds FM inaendelea kung'aaa Baada ya leo tena wakati watangazaji wa Clouds TV wakijadili habari za magazeti Rais Magufuli alipiga simu na kusema mshahara wake anaolipwa kwa Mwezi ..Hii imekuja baaada ya magazeti ya leo kuandika habari ya Zitto na Lissu Kudai rais ataje mshahara wake na akatwe kodi..

Rais amewaambia Clouds TV kuwa analipwa Shilingi Milioni 9.5 amesema akimaliza mapumziko yake huko Geita atakuja kutoa mchanganuo wake pamoja na marupurupu anayopata...