Bunge Latoa Msimamo Wake Kuhusu Naibu Spika Tulia Ackson Kukataliwa na Kambi ya Upinzania - MULO ENTERTAINER

Latest

2 Jun 2016

Bunge Latoa Msimamo Wake Kuhusu Naibu Spika Tulia Ackson Kukataliwa na Kambi ya Upinzania

Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah

Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, amesema msimamo wa wabunge wa upinzani kutohudhuria vikao vinavyoongozwa na Dk. Tulia hauwezi kuathiri shughuli za Bunge na uongozi wa Bunge hauoni tatizo la Dk. Tulia kwani ni kiongozi mahiri anayesimamia kanuni wakati wa kuliongoza Bunge.
Neno moja kwa Katibu wa Bunge