
Diamond amefunguka kuwa hivi karibuni ataachia ngoma mpya kabisa yake akiwashirikisha
P SQURE. Hii ni baada ya kuachia ngoma mpya aliyoshirikishwa na Hayati Papa Wemba (RIP), hivyo basi tutarajie kitu kizuri kabisa kutoka kwa huyu msanii mkubwa Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.