Juhudi za Richard Kasesela Zambakiza Ukuu wa Wilaya...Aandika Ujumbe Huu Baada ya Wakuu Wapya Kutangazwa - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Jun 2016

Juhudi za Richard Kasesela Zambakiza Ukuu wa Wilaya...Aandika Ujumbe Huu Baada ya Wakuu Wapya Kutangazwa



Richard Kasesela ni kati ya Wakuu wa wilaya 39 ambao wamebakia katika nafasi zao katika kazi ya ukuu wa Wilaya baada ya Jana Magufuli kutangaza wakuu wa Wilaya wapya..

Baada ya Kutangazwa Wakuu wa wilaya wapya Richard Kasesela Ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook:

"Nashukuru Mh Rais namuomba Mungu azidi kunipa nguvu kuwatumikia wana Iringa na Taifa kwa ujumla."