Mtatuua Jamani, Vaeni Chupi Mtuepushie Mabalaa.... - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Jun 2016

Mtatuua Jamani, Vaeni Chupi Mtuepushie Mabalaa....

Dada zetu siku hizi hawapendi kuvaa chupi kabisa.Wenyewe wanadai wanataka wapigwe upepo kunako. 

Sasa wengine nguo wanazovaa ni hatari tupu,unakuta kavaa nguo laini na mzigo kajaliwa huo mtikisiko sasa mpaka presha zinatupanda. 

Na wengine mpaka tamu yote inaonekana. Dada zetu hembu tuoneeni huruma sisi watoto wa watu. Tunajua ni utandawazi lakini sasa mmezidisha.