Profesa Mkilaha Ajipiga Risasi Bahati Mbaya na Kufa Wakati Akisafisha Bastola yake - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Jun 2016

Profesa Mkilaha Ajipiga Risasi Bahati Mbaya na Kufa Wakati Akisafisha Bastola yake

Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa nyumbani kwake Dar na kufariki.

Mungu amlaze mahali pema peponi!!

RIP PROF.