Mtu wangu June 25 2016 nina kila sababu ya kukusogezea hii good news kutoka kwa Mr Blue, leo anatualika kuitazama video yake mpya ya Mboga saba aliyomshirikisha Staa kotoka Bongoflevani Alikiba, video ambayo imetayarishwaa chini ya Director kutoka Kwetu Studio, usisahau pia unaweza ukaniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa. Video:
26 Jun 2016
New
TAZAMA Hapa Video Mpya ya Mr Blue Aliyomshirikisha Alikiba ya Wimbo Unaoitwa Mboga Saba....
mulo
Newer Article
Sabby Afunguka: AliKiba Alitaka Kuniua kwa Mahaba
Older Article
Mh. Magufuli, Nchi inaongozwa Kwa Katiba na Sio Ilani ya CCM....