VideoFUPI: Maneno ya Diamond dakika 8 kabla ya tuzo za BET kutolewa. - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Jun 2016

VideoFUPI: Maneno ya Diamond dakika 8 kabla ya tuzo za BET kutolewa.


Tuzo za BET zinaendelea kutolewa Los Angeles Marekani ambapo tuzo aliyokuwa akishindania Diamond Platnumz ya Best International Act Africa ama msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika ilichukuliwa na DJ Black Coffee wa South Africa.
Dakika 8 kabla ya tuzo kutolewa nilimpata Diamond Platnumz akaongelea matumaini yake juu ya tuzo hiyo ambayo ilikuwa ikishindaniwa na A.K.A, Black Coffee, Casper Nyovest (South Africa)Yemi Alade, Wizkid (Nigeria), Mz Vee (Ghana)  na Serge Beynaud (Ivory Coast)