Walimu Wenye vyeti Feki Watakiwa Kujisalimisha kwa Hiari Kabla ya Shuruti - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Jun 2016

Walimu Wenye vyeti Feki Watakiwa Kujisalimisha kwa Hiari Kabla ya Shuruti

Nimekutana na hii "barua" mahali.Inavyoonekana muda si mrefu wenye vyeti "vya hapa na pale" wataanza kutafutana.

Likisimamiwa vizuri ni zoezi zuri na lenye tija kwa Taifa. Ila kwa upande mwingine tujiandae kwa "deficity" ya wale watakao "katwa".