Askari Aliyemuua Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi Ahukumiwa Kifungo - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Jul 2016

Askari Aliyemuua Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi Ahukumiwa Kifungo

‪#‎HABARI‬ Askari aliyemuua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi bila kukusudia leo amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela.