Hatimaye Geryson Msigwa Athibitshwa Kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Jul 2016

Hatimaye Geryson Msigwa Athibitshwa Kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amemthibitisha Geryson Msigwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. Kabla Geryson Msigwa alikuwa akikaimu cheo hicho.

Hongereni Kurugenzi ya Habari Ikulu kwa nafasi hizo