Breaking News: Dada ambaye picha zake mbaya zilizovujishwa na mpenzi wake wa zamani ajiua kwa kujinyonga. - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Aug 2016

Breaking News: Dada ambaye picha zake mbaya zilizovujishwa na mpenzi wake wa zamani ajiua kwa kujinyonga.


Picha haiusiani na tukio 

Dada ambaye picha zake mbaya zilizovujishwa na mpenzi wake wa zamani aamua kujiua kwa kujinyonga,hii ni baada ya kuona aibu na kuhisi hakubaliki katika jamii na kwa ndugu zake kwa ujumla. Hili limetokea leo mnamo tarehe 7 mwezi wa nane. Roho yake ilazwe mahali pema peponi.