Freeman Mbowe Amtembelea na Kumjulia Hali Spika wa Bunge, Job Ndugai - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Aug 2016

Freeman Mbowe Amtembelea na Kumjulia Hali Spika wa Bunge, Job Ndugai


Kiongozi wa Kambi rasmi  ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.