Agness Masogange Aamua Kupima Ukimwi na Kutuonyesha Kukata Mzizi wa Fitina
Baada ya Mrembo Tunda kuanika Majibu yake ya Ngoma tukayaona...Agnes
Masogange nayeye awafunga midomo walikuwa wakimsema ana Ugonjwa...Aanika
wazi majibu yake. .imethibishwa kuwa Hana HIV...je ukipata nafasi
utamshauri nini? ?? Tia neno kwako