Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu
(Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo
huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa
amefika bei kwa Mkaka huyo Handsome
Tazama Picha ya mwanaume huyo hapa: