Habari ya Kwamba Ukikutwa Umelala Gesti House Mchana Unakamatwa na Polisi - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Sept 2016

Habari ya Kwamba Ukikutwa Umelala Gesti House Mchana Unakamatwa na Polisi

Audio Ambayo imekuwa ikisambaa toka jana kwenye mitandao ja kijamii Mwanamke akielezea tukio aliloshuhudia kwamba Kwa sasa ukikutwa gesti mchana Dar unakamatwa kwa kosa la kulala muda wa kazi, polisi walikuwa wanafanya msako Tegeta kukamata watu hao

Msikilize Hapa: