Amber Lulu Afunguka Kukamatwa na Madawa ya Kulevya, Bifu na Gigy Money na Uhusiano wake na Young Dee - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Oct 2016

Amber Lulu Afunguka Kukamatwa na Madawa ya Kulevya, Bifu na Gigy Money na Uhusiano wake na Young Dee

Msikilize hapa akihojiwa na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove ambapo amezungumzia kwa mkato tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya, bifu na Gigy Money, uhusiano wake na Young Dee na fedha anazolipwa kufanya video.