Baraka Da Prince Atokwa Povu na Kumtukana Msami Baada ya Kudai Anamtamani Najma - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Oct 2016

Baraka Da Prince Atokwa Povu na Kumtukana Msami Baada ya Kudai Anamtamani Najma

Baada ya baraka da prince kutupitia picha mpenzi wake kwenye instagram msanii mwenzake Msami alicomment kwa kumtania lakini baraka alipandwa na harisa na kumtukana mwenzake