Abdu Kiba ameelezea kuwa Ali Kiba hafanyi nae kolabo kwa kuwa Ali Kiba yupo bize na wasanii wengine Pia amesema hana mpango wa kwenda wasafi ila anaweza kufanya nao kolabo Read more