Bodi ya Mikopo(HESLB) yakiuka muongozo wake yenyewe - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Oct 2016

Bodi ya Mikopo(HESLB) yakiuka muongozo wake yenyewe

Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Robert Kibona

Wakuu kama mnavyokumbuka Bodi ya Elimu ya Juu katikati ya mwaka 2016 ilitoa muongozo GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF STUDENTS’ LOANS AND GRANTS FOR THE 2016/2017 ACADEMIC YEAR. Bodi imevunja muongozo huo kwa kukiuka vipengele muhimu kabisa na kusababisha tetemeko katika vyuo vya elimu ya juu kiasi cha baadhi ya wanafunzi kuanza kurudi makwao.

3.4 Continuing students who are loan beneficiaries 

Kwa mujibu wa Kipengere cha 3.4 cha muongozo, bodi imesema kuwa wanafunzi wanaoendelea wataendelea kupokea kwa mujibu wa means test grades zilizopita.

All other continuing students’ loan beneficiaries shall continue to receive their loans as per their previous Means Test Grades upon submission of examination results/progress reports to signify that they have passed and are proceeding to the next year of study. However, all continuing students who are loan beneficiaries need not to reapply for loans except those who are no longer in need should notify the Board through the Online Loan Application Management System (OLAMS).

Kinyume na muongozo bodi imewabadilikia wanafunzi wanaoendelea. Kwa mfano wanafunzi wa UDSM wamepata buum kwa asilimia

3.8 Meals and Accommodation 

Kwa mujibu wa Kipengere cha 3.8 cha muongozo bodi wangetoa Tzs.8,500 kwa siku kwa ajili ya chakula na malazi. Hakuna mahali waliposema kwamba means test itatumika katika fedha za chakula na malazi. Kinyume na muongozo huo watoto watapatiwa fedha za kujikimu kwa kuzingatia means test grades, mfano kwa upande wa SUA kijana Mnyamagola Nurdin Edward mwenye namba S.3470.0037.2013 atapatiwa Tzs.45,150 (sijapata uhakika kama ni kwa mwaka ama semista)

The Board may provide loans for Meals and Accommodation at the rate of Tzs 8,500 per day while on campus for theoretical instructions in the academic year.

3.9 Books and Stationery expenses 

A maximum of Tzs 200,000.00 per annum for Books and Stationery may be granted to eligible and needy students. However, loan beneficiaries from the Open University of Tanzania (OUT) may be granted books and stationery loans for a maximum of 3 to 4 academic years only (depending on the programme of study) and not every year.

Kinyume na muongozo bodi itatoa fedha hii kwa kuzingatia means test grade, mfano kwa upande wa SUA kijana Mnyamagola Nurdin Edward mwenye namba S.3470.0037.2013 atapatiwa Tzs.4,024

TAHADHARI

· Bodi ya mikopo na waziri Ndalichako mnajua mnamchonganisha kwa kiwango gani Mh.Rais Magufuli na wananchi wake?

· Mh.Rais hujasikia chochote kuhusiana na tetemeko hili? Mbona upo kimya baba? Ni jana tu inasemekana ulimpigia simu RC Gambo. Kweli kabisa umepata mda huo ukakosa mda wa kumpigia Ndalichako simu kumtaka atatue tatizo hili ndani ya siku 3?