Ni Kweli Linnah Ameiba Mume Wa Mtu?, Msikilize Hapa.. - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Oct 2016

Ni Kweli Linnah Ameiba Mume Wa Mtu?, Msikilize Hapa..

Shilawadu bhana sio watu wa mchezomchezo kabisa.. Walizinyaka picha za anaetajwa kua ni mpenzi wa mwanamuziki Linnah Sanga akimvisha pete ya uchumba mwanamke mwingine..
 Hawakuishia hapo.. Wakaamua kuzisambaza mtandaoni bwana... Ohoooooooooooo... Umbea si ukamfikia Mhariri Mkuu wa Gazeti La Makorokocho, Kama mnavyomjua mshikaji wetu @SoudyBrown Halazagi Damu amemtafuta Dada Yetu Linnah na kupiga nae mastori kuhusu ishu hiyo..

BONYEZA PLAY KWENYE VIDEO HII HAPA CHINI USIKIE MAJIBU YA LINNAH: