CEO wa House Of Hits WCB Wasafi yaani Diamond Platnumz amesema milango ya wasanii wapya na wazoefu kujiunga na Label yake ya Wasafi. Akizungumza na mwandishi wetu Mondi amezitaja sifa na vigezo ambazo msanii huyo atatakiwa kuwanavyo: BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI KUMSIKILIZA: