Sakata la Ali Kiba Kushushwa Jukwaani Show ya Mombasa..Mdau Adai ni Kawaida ya Ali Kiba Kulalamika. - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Oct 2016

Sakata la Ali Kiba Kushushwa Jukwaani Show ya Mombasa..Mdau Adai ni Kawaida ya Ali Kiba Kulalamika.

Jana Sakata la Mwanamuziki Ali Kiba kushushwa Jukwaani kwenye show ya Mombasa ili Chriss Brown apande jukwaani kuimba jana lilichukua sura mpya baada ya Video kutoka Ali Kiba akiongea kuhusu hilo na kusema kuwa anahisi kuhujumiwa hasa baada ya meneja wa Diamond kuonekana akiwa backstage...Ali Kiba amedai haelewi Meneja huyo wa Diamond alikuwa anafanya nini backstage wakati msanii wake hakuwa na show siku hiyo..
Sasa watu mbali mbali wametoa maoni yao embu soma ya huyu alafu uniambie kama kuna ukweli: