Taarifa ya Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kutenguliwa Inayosambaa Mitandaoni...Ikulu Yatoa Tamko - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Oct 2016

Taarifa ya Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kutenguliwa Inayosambaa Mitandaoni...Ikulu Yatoa Tamko

Hii  Taarifa (katika picha)  inasambazwa  mitandaoni  kwamba  Imetoka  IKULU. Mkurugenzi  wa  Mawasiliano ya  Rais ,Gerson Msigwa  kasema  ni  ya  uongo, imetengenezwa  na  watu  wenye  nia  ovu  hivyo  ipuuzwe