VIDEO:Majambazi Wenye Pikipiki Wapora $40,000 Ofisini Kwa Mohamed Ishaq (Scandinavia) - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Oct 2016

VIDEO:Majambazi Wenye Pikipiki Wapora $40,000 Ofisini Kwa Mohamed Ishaq (Scandinavia)

Jamaa katika Nissan kaibiwa usd 40,000 na majambazi ofisini kwa Mohamed Ishaq (scandinavia)

Majambazi walimfuatilia tokea benki.

Video ya pili inaonesha tukio lililochukuliwa na rekodi za cctv camera