Mama Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Ugomvi wa Wema na Munalove....Adai Marafiki Wanamtumia Kumuuza Kwa Wanaume - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Nov 2016

Mama Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Ugomvi wa Wema na Munalove....Adai Marafiki Wanamtumia Kumuuza Kwa Wanaume

Bifu ya Wema Sepetu na Muna Love imeingia ukurasa mpya baada ya Mama Wema Sepetu kujitokeza na kuongea Mengi huku akimpelekea Wema Lawama na kumtetea Muna..Nimekuwekea Sauti hapa chini mama Wema Akiongea kuhusu sakata hilo na kuhusu Wema Kutumiwa na Kuuzwa kwa Wanaume....

Sikiliza Hapa: