Michirizi Inayoonekana Kwenye Miili ya Akina Dada Inaashiria Nini? - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Nov 2016

Michirizi Inayoonekana Kwenye Miili ya Akina Dada Inaashiria Nini?

Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya utamu wao kama Mwana FA alivyoimba  "Michirizi ya utamu nyuma ya goti mimi hoi na moyo hai sio toi "  au ugonjwa wa ngozi?