Mkenya Aibuka Mshindi wa Maisha Plus - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Nov 2016

Mkenya Aibuka Mshindi wa Maisha Plus

Olivie Kiarie wa Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki.

Ushindi huo umempa Olive kitita cha shilingi milioni 30 za Kitanzania.

Shindano la Maisha Plus lilishirikisha nchi za Afrika Mashariki.