Vikao vya bunge vimeendelea tena leo November 3 2016 Dodoma, Mbunge wa Hai (CHADEMA) ambaye ni kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe aliuliza kwa Waziri mkuu kuhusu kikao kilichofanyika October 25 2016 cha Wabunge wa CCM na wakapewa zawadi ya shilingi milioni 10.
3 Nov 2016
New
mulo
MBOWE