VIDEO: Mtoto aliyeingia barabarani na gari yake ya kuchezea, na kukwepana na magari. - MULO ENTERTAINER

Latest

3 Nov 2016

VIDEO: Mtoto aliyeingia barabarani na gari yake ya kuchezea, na kukwepana na magari.

Imetokea huko Lishui China ambako mtoto akiwa na gari lake la kuchezea aliingia kwenye barabara ya magari tena kwenye barabaraba iliyo busy na kuendesha gari lake kuelekea upande magari yanakotokea.
Magari yaliendelea na safari zake na kumkwepa lakini baada ya Polisi kumuona, akamfata na kumuondoa na kumkabidhi kwa Mwanamke ambaye inaaminika ni mama yake, unaweza kutazama video yenyewe hapa chini.