Wasichana 'Mnao ombaomba' Hela, Imefanya Wanaume Wasiamini Wasichana - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Nov 2016

Wasichana 'Mnao ombaomba' Hela, Imefanya Wanaume Wasiamini Wasichana

Tabia ya wasichana kuwaombaomba wanaume hela bila sababu imeondoa imani na heshima kwa wasichana.

Utakuta wasichana hao wana kazi, wana biashara ila kutwaa kuombaomba.

Hii tabia imefanya wanaume waone kuwa wasichana wote wanatabia hiyo hiyo.

Pia imesababisha hata kushindwa kuwapa hela wale wasioomba eti kwakuwa wanakuwa wanawapima tabia hiyo.

Enyi wasichana 'ombaomba' acheni tabia hiyo, mnashusha heshima za wasichana wote