Baada ya mitandao ya kijamii nchini Uganda kusambaza picha za utupu za mwanamuziki Disire Luzinda,Hatimae Mwanamuziki huyo amevunja ukimya na kukanusha taarifa hiyo na kudai kuwa maadui wake wake wamekua wakimchafua kwa kutumia picha za zamani hasa picha za utupu za mwanamuziki huyo zilizovuja mitandaoni mwaka 2014.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook,mwanamuziki huyo ali-post akiwa kwenye 'Red Carpet' alipohudhuria tamasha la utoaji wa tuzo 'Abryanz Style and Fashion' zilizofanyika jijini Kampala nchini humo na kuandika :
“When they see you shine, they bring back your past to haunt you and deem your light but sorry I am moving forward”.Ujumbe huo uliambatana na jina la Mwanamuziki mwenzake anamhisi ndie aliyeusuka mpango huo wa kumchafua ambapo alifuta post hiyo muda mfupi baada ya ku-post.