MAGUFULI Awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, Tetemeko Nyie, Mna mto Unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero! - MULO ENTERTAINER

Latest

5 Jan 2017

MAGUFULI Awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, Tetemeko Nyie, Mna mto Unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero!

Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko.

Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono.

Msikilize: