NINI Kimemkuta WEMA Sepetu....Afuta Picha Zote Kwenye Account ya Instagram - MULO ENTERTAINER

Latest

2 Jan 2017

NINI Kimemkuta WEMA Sepetu....Afuta Picha Zote Kwenye Account ya Instagram


Nini tena kimemkuta malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu? Ama labda ameamua kutoingia mwaka 2017 kwa kumbukumbu za mwaka 2016?

Ni kwa sababu mrembo huyo ameamua kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram yenye followers milioni 2.5.


Japo haijajulikana sababu ya kuamua kufanya hivyo, uwezekano kwamba ameamua kuukaribisha mwaka mpya kwa kupost picha mpya ni mkubwa.