Skendo ya Madawa ya Kulevya Kwa Hemedy...Mwenyewe Adai Alimuhofia Mama Yake Baada ya hivi karibuni kusambaa kwa post kwenye mitandao ya kijamii ikitaja baadhi ya wasanii wa Bongo wanaotumia dawa za kulevya, miongoni mwa wasanii waliotajwa ni pamoja na Hemedy Suleiman. Hemedy Suleiman kuzugumzia madai hayo……‘Nilipoiona hiyo post nilicheka kwa sababu mimi naujua ukweli, ila nilimfikiria zaidi mama yangu mzazi akisikia hizo habari itakuaje, na kweli alinipigia huku amepanic lakini ukweli ni kwamba mimi si mtumiaji wa dawa za kulevya’ Install App ya Udaku Special Kwenye Simu yako HAPA Kupata Hizi Habari Kirahisi - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Jan 2017

Skendo ya Madawa ya Kulevya Kwa Hemedy...Mwenyewe Adai Alimuhofia Mama Yake Baada ya hivi karibuni kusambaa kwa post kwenye mitandao ya kijamii ikitaja baadhi ya wasanii wa Bongo wanaotumia dawa za kulevya, miongoni mwa wasanii waliotajwa ni pamoja na Hemedy Suleiman. Hemedy Suleiman kuzugumzia madai hayo……‘Nilipoiona hiyo post nilicheka kwa sababu mimi naujua ukweli, ila nilimfikiria zaidi mama yangu mzazi akisikia hizo habari itakuaje, na kweli alinipigia huku amepanic lakini ukweli ni kwamba mimi si mtumiaji wa dawa za kulevya’ Install App ya Udaku Special Kwenye Simu yako HAPA Kupata Hizi Habari Kirahisi

Baada ya hivi karibuni kusambaa kwa post kwenye mitandao ya kijamii ikitaja baadhi ya wasanii wa Bongo wanaotumia dawa za kulevya, miongoni mwa wasanii waliotajwa ni pamoja na Hemedy Suleiman.

Hemedy Suleiman kuzugumzia madai hayo……‘Nilipoiona hiyo post nilicheka kwa sababu mimi naujua ukweli, ila nilimfikiria zaidi mama yangu mzazi akisikia hizo habari itakuaje, na kweli alinipigia huku amepanic lakini ukweli ni kwamba mimi si mtumiaji wa dawa za kulevya’