Baada ya Kutoka Selo Kwa Dhamana Hii Ndio Post ya Kwanza Aliyoandika Wema Sepetu Instagram - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Feb 2017

Baada ya Kutoka Selo Kwa Dhamana Hii Ndio Post ya Kwanza Aliyoandika Wema Sepetu Instagram


Inawezekana kama wewe ni shabiki wa Wema Sepetu ulikua na hamu sana ya kujua post yake ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii itahusu nini baada ya kuachiwa kwa dhamana na Mahakama kufuatia sakata la dawa za kulevya lililomfanya alale Polisi.
Post ya kwanza ya Mwigizaji huyu haijahusu chochote kuhusu kesi yake ama alichokipitia wiki iliyoisha bali imemuhusu dada yake ambaye leo ni siku yake ya kuzaliwa kama inavyoonekana hapa chini.