Breaking News..Wema Sepetu Afikishwa Mahakamani na Kupewa Dhamana..!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Feb 2017

Breaking News..Wema Sepetu Afikishwa Mahakamani na Kupewa Dhamana..!!!


Hatimaye wema sepetu apata dhamana kwa mashtaka yaliyomfikisha kisutu mbele ya mh. Simba.
Wema alikua akiwakilishwa na wakili Msando.
Kesi imepangwa kwa kutajwa tarehe 22/2