Tanzania Yaisaidia Kenya Madaktari 500 ...!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Mar 2017

Tanzania Yaisaidia Kenya Madaktari 500 ...!!!


Rais Magufuli akubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo Ikulu yathibitisha.

Rais Magufuli amekubalina na ombi hilo leo tarehe 18 March 2017 baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Wizara ya Afya ya Kenya uliotumwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Uhuru Kenyatta.